Back to Languages

Swahili - Chapter 36 - Ya-Sin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 47 — Surah Ya-Sin 36:47

Na wanapo ambiwa: Toeni katika aliyo kupeni Mwenyezi Mungu, walio kufuru huwaambia walio amini: Je! Tuwalishe ambao Mwenyezi Mungu angependa angeli walisha mwenyewe? Nyinyi hammo ila katika upotofu ulio dhaahiri