Back to Languages

Swahili - Chapter 36 - Ya-Sin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 60 — Surah Ya-Sin 36:60

Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu