Back to Languages

Swahili - Chapter 36 - Ya-Sin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 62 — Surah Ya-Sin 36:62

Na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu. Je, hamkuwa mkifikiri