Back to Languages

Swahili - Chapter 36 - Ya-Sin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 77 — Surah Ya-Sin 36:77

Kwani mwanaadamu haoni ya kwamba Sisi tumemuumba yeye kutokana na tone la manii? Kisha sasa yeye ndio amekuwa ndiye mgomvi wa dhaahiri