Back to Languages

Swahili - Chapter 38 - Sad

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 27 — Surah Sad 38:27

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na viliomo ndani yao bure. Hiyo ni dhana ya walio kufuru. Ole wao walio kufuru kwa Moto utao wapata