Back to Languages

Swahili - Chapter 38 - Sad

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 4 — Surah Sad 38:4

Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo