Back to Languages

Swahili - Chapter 38 - Sad

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 75 — Surah Sad 38:75

Mwenyezi Mungu akamwambia: Ewe Iblisi! Kipi kilicho kuzuia kumt'ii yule niliye muumba kwa mikono yangu? Je! Umejiona mkubwa, au umekuwa katika wakuu kweli