Back to Languages

Swahili - Chapter 39 - Az-Zumar

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 22 — Surah Az-Zumar 39:22

Je! Yule ambaye Mwenyezi Mungu amemfungulia kifua chake kwa Uislamu, na akawa yuko kwenye nuru itokayo kwa Mola wake Mlezi (ni sawa na mwenye moyo mgumu?) Basi ole wao wenye nyoyo ngumu zisio mkumbuka Mwenyezi Mungu! Hao wamo katika upotofu wa dhaahiri