Back to Languages

Swahili - Chapter 39 - Az-Zumar

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 61 — Surah Az-Zumar 39:61

Na Mwenyezi Mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao. Hapana uovu utao wagusa, wala hawatahuzunika