Back to Languages

Swahili - Chapter 43 - Az-Zukhruf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 46 — Surah Az-Zukhruf 43:46

Na bila ya shaka tulimtuma Musa kwa Ishara zetu ende kwa Firauni na waheshimiwa wake, na akasema: Hakika mimi ni Mtume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote