Back to Languages

Swahili - Chapter 45 - Al-Jathiyah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 24 — Surah Al-Jathiyah 45:24

Na walisema: Hapana ila huu uhai wetu wa duniani - twafa na twaishi, na hapana kinacho tuhiliki isipo kuwa dahari. Lakini wao hawana ilimu ya hayo, ila wao wanadhani tu