Back to Languages

Swahili - Chapter 52 - At-Tur

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 21 — Surah At-Tur 52:21

Na walio amini na dhuriya zao wakawafuata kwa Imani tutawakutanisha nao dhuriya zao, na wala hatutawapunja hata kidogo katika vitendo vyao. Kila mtu lazima atapata alicho kichuma