Back to Languages

Swahili - Chapter 54 - Al-Qamar

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 37 — Surah Al-Qamar 54:37

Na walimtaka awape wageni wake. Tukayapofua macho yao, na tukawaambia: Onjeni basi adhabu na maonyo yangu