Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 54 - Al-Qamar
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 9 — Surah Al-Qamar 54:9
Kabla yao kaumu ya Nuhu walikanusha; wakamkanusha mja wetu, na wakasema ni mwendawazimu, na akakaripiwa