Back to Languages

Swahili - Chapter 56 - Al-Waqiah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 47 — Surah Al-Waqiah 56:47

Na walikuwa wakisema: Tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa