Back to Languages

Swahili - Chapter 111 - Al-Masad

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Al-Masad 111:1

Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia

Verse 2 — Surah Al-Masad 111:2

Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma

Verse 3 — Surah Al-Masad 111:3

Atauingia Moto wenye mwako

Verse 4 — Surah Al-Masad 111:4

Na mkewe, mchukuzi wa kuni

Verse 5 — Surah Al-Masad 111:5

Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa