Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 17 - Al-Isra
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 88 — Surah Al-Isra 17:88
Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao