Back to Languages

Swahili - Chapter 19 - Maryam

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 51 — Surah Maryam 19:51

Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii