Back to Languages

Swahili - Chapter 24 - An-Nur

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 3 — Surah An-Nur 24:3

Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini