Back to Languages

Swahili - Chapter 24 - An-Nur

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 32 — Surah An-Nur 24:32

Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu. Wakiwa mafakiri Mwenyezi Mungu atawatajirisha kwa fadhila yake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa Mwenye kujua