Back to Languages

Swahili - Chapter 24 - An-Nur

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 37 — Surah An-Nur 24:37

Watu ambao biashara wala kuuza hakuwashughulishi na kumdhukuru Mwenyezi Mungu, na kushika Sala, na kutoa Zaka. Wanaikhofu Siku ambayo nyoyo na macho yatageuka