Back to Languages

Swahili - Chapter 24 - An-Nur

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 41 — Surah An-Nur 24:41

Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo