Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 24 - An-Nur
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 48 — Surah An-Nur 24:48
Na wanapo itwa kumuendea Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, kipo kikundi katika wao kinakataa