Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 24 - An-Nur
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 57 — Surah An-Nur 24:57
Msiwadhanie walio kufuru kwamba watashinda katika nchi. Na makaazi yao ni Motoni, na hakika ni maovu kweli marejeo yao