Back to Languages

Swahili - Chapter 26 - Ash-Shuara

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 139 — Surah Ash-Shuara 26:139

Wakamkanusha; nasi tukawaangamiza. Hakika bila ya shaka katika haya ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini