Back to Languages

Swahili - Chapter 26 - Ash-Shuara

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 18 — Surah Ash-Shuara 26:18

(Firauni) akasema: Sisi hatukukulea wewe utotoni, na ukakaa kwetu katika umri wako miaka mingi