Back to Languages

Swahili - Chapter 26 - Ash-Shuara

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 227 — Surah Ash-Shuara 26:227

Isipo kuwa wale walio amini, na wakatenda mema, na wakamkumbuka Mwenyezi Mungu kwa wingi, na wakajitetea wanapo dhulumiwa. Na wanao dhulumu watakuja jua mgeuko gani watakao geuka