Back to Languages

Swahili - Chapter 37 - As-Saffat

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 158 — Surah As-Saffat 37:158

Na wameweka makhusiano ya nasaba baina yake na majini; na majini wamekwisha jua bila ya shaka kuwa wao watahudhurishwa