Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 91 - Ash-Shams
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 14 — Surah Ash-Shams 91:14
Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa