Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 93 - Ad-Duhaa
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah Ad-Duhaa 93:1
Naapa kwa mchana
Verse 2 — Surah Ad-Duhaa 93:2
Na kwa usiku unapo tanda
Verse 3 — Surah Ad-Duhaa 93:3
Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe
Verse 4 — Surah Ad-Duhaa 93:4
Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia
Verse 5 — Surah Ad-Duhaa 93:5
Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike
Verse 6 — Surah Ad-Duhaa 93:6
Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi
Verse 7 — Surah Ad-Duhaa 93:7
Na akakukuta umepotea akakuongoa
Verse 8 — Surah Ad-Duhaa 93:8
Akakukuta mhitaji akakutosheleza
Verse 9 — Surah Ad-Duhaa 93:9
Basi yatima usimwonee
Verse 10 — Surah Ad-Duhaa 93:10
Na anaye omba au kuuliza usimkaripie
Verse 11 — Surah Ad-Duhaa 93:11
Na neema za Mola wako Mlezi zisimlie