Back to Languages

Swahili - Chapter 94 - Ash-Sharh

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Ash-Sharh 94:1

Hatukukunjulia kifua chako

Verse 2 — Surah Ash-Sharh 94:2

Na tukakuondolea mzigo wako

Verse 3 — Surah Ash-Sharh 94:3

Ulio vunja mgongo wako

Verse 4 — Surah Ash-Sharh 94:4

Na tukakunyanyulia utajo wako

Verse 5 — Surah Ash-Sharh 94:5

Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi

Verse 6 — Surah Ash-Sharh 94:6

Hakika pamoja na uzito upo wepesi

Verse 7 — Surah Ash-Sharh 94:7

Na ukipata faragha, fanya juhudi

Verse 8 — Surah Ash-Sharh 94:8

Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie