Back to Languages

Swahili - Chapter 95 - At-Tin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah At-Tin 95:1

Naapa kwa tini na zaituni

Verse 2 — Surah At-Tin 95:2

Na kwa Mlima wa Sinai

Verse 3 — Surah At-Tin 95:3

Na kwa mji huu wenye amani

Verse 4 — Surah At-Tin 95:4

Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa

Verse 5 — Surah At-Tin 95:5

Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini

Verse 6 — Surah At-Tin 95:6

Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha

Verse 7 — Surah At-Tin 95:7

Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo

Verse 8 — Surah At-Tin 95:8

Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote