Back to Languages

Swahili - Chapter 96 - Al-Alaq

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Al-Alaq 96:1

Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba

Verse 2 — Surah Al-Alaq 96:2

Amemuumba binaadamu kwa tone la damu

Verse 3 — Surah Al-Alaq 96:3

Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote

Verse 4 — Surah Al-Alaq 96:4

Ambaye amefundisha kwa kalamu

Verse 5 — Surah Al-Alaq 96:5

Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui

Verse 6 — Surah Al-Alaq 96:6

Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri

Verse 7 — Surah Al-Alaq 96:7

Verse 8 — Surah Al-Alaq 96:8

Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo

Verse 9 — Surah Al-Alaq 96:9

Umemwona yule anaye mkataza

Verse 10 — Surah Al-Alaq 96:10

Verse 11 — Surah Al-Alaq 96:11

Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu

Verse 12 — Surah Al-Alaq 96:12

Au anaamrisha uchamngu

Verse 13 — Surah Al-Alaq 96:13

Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma

Verse 14 — Surah Al-Alaq 96:14

Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona

Verse 15 — Surah Al-Alaq 96:15

Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele

Verse 16 — Surah Al-Alaq 96:16

Shungi la uwongo, lenye makosa

Verse 17 — Surah Al-Alaq 96:17

Basi na awaite wenzake

Verse 18 — Surah Al-Alaq 96:18

Nasi tutawaita Mazabania

Verse 19 — Surah Al-Alaq 96:19

Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee