Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 86 - At-Tariq
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah At-Tariq 86:1
Naapa kwa mbingu na Kinacho kuja usiku
Verse 2 — Surah At-Tariq 86:2
Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku
Verse 3 — Surah At-Tariq 86:3
Ni Nyota yenye mwanga mkali
Verse 4 — Surah At-Tariq 86:4
Hapana nafsi ila inayo mwangalizi
Verse 5 — Surah At-Tariq 86:5
Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani
Verse 6 — Surah At-Tariq 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa
Verse 7 — Surah At-Tariq 86:7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
Verse 8 — Surah At-Tariq 86:8
Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha
Verse 9 — Surah At-Tariq 86:9
Siku zitakapo dhihirishwa siri
Verse 10 — Surah At-Tariq 86:10
Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi
Verse 11 — Surah At-Tariq 86:11
Naapa kwa mbingu yenye marejeo
Verse 12 — Surah At-Tariq 86:12
Na kwa ardhi inayo pasuka
Verse 13 — Surah At-Tariq 86:13
Hakika hii ni kauli ya kupambanua
Verse 14 — Surah At-Tariq 86:14
Wala si mzaha
Verse 15 — Surah At-Tariq 86:15
Hakika wao wanapanga mpango
Verse 16 — Surah At-Tariq 86:16
Na Mimi napanga mpango
Verse 17 — Surah At-Tariq 86:17
Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole